VIJUKUU KATIKA POZI

                          SAUTI ZA VIJUKUU BAND

SAUTI YA VIJUKUU Band imeanzishwa mnamo mwaka 2015 na wasanii wawili ambao ni TALIQ na HAILAT,ambao wote wanatokea katika familia ya wanamuziki yaani babu yao na wazazi wao wote ni wanamuziki mashuhuri katika tasnia ya taarab Tanzania ambao ni OMARY TEGO NA MAUA TEGO ambao wanaunda kundi la coast morden taarab kundi hili iliwahi kutamba na albam tofauti na nyimbo zao maarufu kama -: KUKUPENDA ISIWE TABU iliimbwa na MAUWA TEGO nyengine AM CRAZY OF YOU iliyoimbwa na OMARY TEGO na UDUGU HAZINA YETU ilioimbwa na wote wawili.Ila kwasasa ndugu hao wameamua kuendeleza vipaji vya watoto wao kwa kuwaanzishia band inayoitwa SAUTI ZA VIJUKUU ili kuleta changamoto na mapinduzi katika tasnia hii ya muziki wa taarab pia SAUTI ZA VIJUKUU imesharekodi albam moja na kwasasa imeshatambulisha nyimbo inayoitwa MAMA WA KAMBO ndo nyimbo iliyobeba jina la albamI
                                                                                                                         

Comments

Popular posts from this blog