Posts

Showing posts from October, 2014
Ni video ya kwanza ya mabantu inayoitwa njoo huku ndani utawakuta vijana wawili muuh na twaah ni pilika ndani angalia...................!!!!!!!!!!!!!!!
Image
Mkurugenzi wa wakupeti music entertainment (Dbass wakupeti) akiwa jukwaani na Lina sanga wa Tht
Moja ya clip ya video mpya ya mabantu inayokwenda kwa jina la bamkole stay tune coming soon......!!!!!!!!!!!!!
Image
mabantu kwenye location wakishuti video yao mpya
Image
Mabantu at location shoot skeleton video cooming soon...................ni watuache
Ni video ya nyimbo mpya kutoka kwa mabantu chini ya lebo ya wakupeti music jina la nyimbo ni skeleton angalia ujio mpya na mapinduzi ndani ya bongo flava
Image
Ni S-day touchz producer ndani ya Wakupeti music Entertainment na ukisikia nyimbo yoyote kutoka ndani ya lebo ya wakupeti music mpikaji ni huyu