Habari kubwa kwa wananchi wa wilaya ya Temeke kupitia ofisi ya mbunge wa Temeke pamoja na studio ya muziki ya wakupeti
music Lab iliyopo maeneo ya mtoni Mtongani inayo furaha kubwa ya
kukufahamisha na kukupa nafasi wewe kijana na mwanamuziki mwenye ndoto
ya kufikia malengo yako hii ni fursa ya kipekee kabisa katika wilaya ya
Temeke,kutakuwa na mashindano ya kuimba kwa wanamuziki
wachanga(chipukizi)fomu zitatolewa na kwa maelezo zaidi piga/sms no 0763
110 362 Hii ni kwa wasanii wa Temeke tu
who is Seven survivor Seven survivar biography Seven Survivor is one of Dar es Salaam's leading exponents playing mchiriku , a style of music that has been extremely popular around the poor areas of Dar es Salaam, Coastal and Morogoro regions for more than twenty years. This group is currently rated the second in popularity after Jagwa Music. They started in 1995 as Survival Original. Due to misunderstandings among the members, a year later they decided to split and Seven Survivor was born. Boasting the talented Juma Mpogo (General Lupozi) as a lead vocalist and keyboard player, Seven Survivor are especially popular around the southern suburbs of Dar es Salaam. The group already released 18 albums on cassette, the most re...

Comments
Post a Comment